Category: saakumiazamleo

saa kumi azam leo app

Ahmed Ally awatuliza mashabiki Simba SC

Meneja wa Idara ya Habari ya ya Simba SC Ahmed Ally amewapoza Mashabiki na Wanachama wa klabu hiyo baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Kagera Sugar leo Jumatano (Januari 26). Simba SC ilikua mkoani Kagera kucheza mchezo huo wa kiporo…

Continue Reading Ahmed Ally awatuliza mashabiki Simba SC

Tumepoteza…

Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar uliofanyika Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera umemalizika kwa kupoteza kwa bao moja. Tulianza mchezo kwa kasi na kuliandama lango la Kagera huku tukimiliki sehemu kubwa na kutengeneza nafasi lakini…

Continue Reading Tumepoteza…

Kizza aiangamiza Simba

Kizza aiangamiza Simba

By Daudi Elibahati KLABU ya Simba imeshindwa kutamba katika uwanja wa Kaitaba baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0, kutoka kwa wenyeji wao Kagera Sugar. Bao hilo la Kagera limewekwa kimiani na mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo, Hamis Kizza…

Continue Reading Kizza aiangamiza Simba

Simba Yanyooshwa na Kagera Kaitaba, Kiiza Atupia

Uwanja wa Kaitaba dakika 90 zimekamilika mbinu ya Pablo Franco imekwama mbele ya Kagera Sugar. Ni Hamis Kiiza dakika ya 70 aliwatungua Simba baada ya safu ya ulinzi kufanya makosa katika kuokoa shambulizi la kushtukiza.   Hakuna sababu nyingine kwa…

Continue Reading Simba Yanyooshwa na Kagera Kaitaba, Kiiza Atupia

Hamisi Kiiza awalaza na viatu Simba, goli moja latosha kuipa point 3 Kagera Sugar

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara Simba SC imepokea kipigo cha goli 1 – 0 dhidi ya Kagera Sugar kupitia bao la Hamisi Kiiza kunako dakika ya 72. Matokeo haya yanawapa wasiwasi mashabiki wa Simba huwenda wakalikosa kombe hili…

Continue Reading Hamisi Kiiza awalaza na viatu Simba, goli moja latosha kuipa point 3 Kagera Sugar

Simba SC yabamizwa Kagera

Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC wamepoteza mchezo wa pili wa Ligi Kuu msimu huu 2021/22, kwa kufungwa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar. Simba SC wamepoteza mchezo huo ugenni mjini Bukoba mkoani Kagera, huku bao la wenyeji likipachikwa wavuni…

Continue Reading Simba SC yabamizwa Kagera

KIIZA AING’ARISHA KAGERA APEWA KADI NYEKUNDU,SIMBA YAZIDI KUPOTEA LIGI KUU

…………………………………………………….. Mabingwa wa watetezi wa Simba kwa mara ya pili wameendelea kugawa pointi katika mechi ya za Ligi Kuu ya NBC baada ya kuchapwa bao 1-0 na wenyeji Kagera Sugar mchezo uliopigwa uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Shujaa wa Kagera…

Continue Reading KIIZA AING’ARISHA KAGERA APEWA KADI NYEKUNDU,SIMBA YAZIDI KUPOTEA LIGI KUU

Misri, Ivory Coast Mtifuano Mzito

VIGOGO wa Afrika, Misri na Ivory Coast watakuwa dimbani leo katika hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Cameroon.   Timu hizo zina washambuliaji walio katika ubora na kuifanya mechi hii kuwa yenye…

Continue Reading Misri, Ivory Coast Mtifuano Mzito

SIMBA YANYOOSHWA UWANJA WA KAITABA

Uwanja wa Kaitaba dakika 90 zimekamilika mbinu ya Pablo Franco imekwama mbele ya Kagera Sugar. Ni Hamis Kiiza dakika ya 70 aliwatungua Simba baada ya safu ya ulinzi kufanya makosa katika kuokoa shambulizi la kushtukiza. Hakuna sababu nyingine kwa Franco…

Continue Reading SIMBA YANYOOSHWA UWANJA WA KAITABA

KIIZA ATOKEA BENCHI KUIUA SIMBA KAITABA

MSHAMBULIAJI mkongwe wa kimataifa wa Uganda, Hamisi Kiiza ‘Diego’ ametokea benchi kuifungia bao pekee Kagera Sugar ikiibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa…

Continue Reading KIIZA ATOKEA BENCHI KUIUA SIMBA KAITABA

Kagera Sugar, Simba hakuna mbabe dakika 45

Kagera Sugar, Simba hakuna mbabe dakika 45

By Daudi Elibahati DAKIKA 45, za kipindi cha kwanza zimemalizika katika uwanja wa Kaitaba kwa wenyeji Kagera Sugar kutoka suluhu ya 0-0 na mabingwa watetezi Simba. Mchezo huo wa mzunguko wa 13, umeshuhudia timu zote zikicheza mpira wa kuvutia kutokana…

Continue Reading Kagera Sugar, Simba hakuna mbabe dakika 45

HT: KAGERA SUGAR 0-0 SIMBA

MAPUMZIKO Mchezoni ni mapumziko kwenye Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera. Ni kipute cha Ligi Kuu Bara. The post HT: KAGERA SUGAR 0-0 SIMBA appeared first on Saleh Jembe.

Continue Reading HT: KAGERA SUGAR 0-0 SIMBA

KIKOSI CHA KAGERA SUGAR V SIMBA

KAGERA Sugar leo inashuka Uwanja wa Kaitaba kusaka ushindi mbele ya Simba ambao ni wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Hiki hapa kikosi cha kwanza:- Said Kipao Dick Mhilu David Luhende Abdalah Mfuko Nassoro Kapama Yusufu Dunia Ally Ramadhan Jackson Kibirige…

Continue Reading KIKOSI CHA KAGERA SUGAR V SIMBA

Mashabiki kupata burudani ya Yanga, Mbao kwa buku tano Kirumba

Mashabiki kupata burudani ya Yanga, Mbao kwa buku tano Kirumba

By Damian Masyenene Mashabiki wa soka nchini watakaopata nafasi za kuingia uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuzishuhudia Yanga na Mbao zikiumana katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam watalipia Sh 5,000 (mzunguko). Mchezo huo namba 79 wa hatua…

Continue Reading Mashabiki kupata burudani ya Yanga, Mbao kwa buku tano Kirumba

Pablo awapiga benchi mastraika

Pablo awapiga benchi mastraika

By Daudi Elibahati KIUNGO wa Simba Clatous Chama ameanza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar unaopigwa katika uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera. Hii ni mara ya kwanza kwa kiungo huyo kuanza kwenye mchezo wa Ligi Kuu…

Continue Reading Pablo awapiga benchi mastraika

Pablo apanga kikosi kivingine

Kocha Mkuu Pablo Franco, amebadili mfumo kuelekea mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar ambapo ameamua kutotumia mshambuliaji asilia. Katika kikosi cha leo Pablo ameamua kuwapanga viungo washambuliaji wanne Clatous Chama, Bernard Morrison, Pape Sakho…

Continue Reading Pablo apanga kikosi kivingine

BOCCO,KAGERE WAANZIA BENCHI DHIDI YA KAGERA SUGAR

LEO Januari 26, Uwanja wa Kaiataba unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba ambapo washambuliaji wote leo wamewekwa benchi na Kocha Mkuu, Pablo Franco. John Bocco na Meddie Kagere pamoja na Yusuf Mhilu…

Continue Reading BOCCO,KAGERE WAANZIA BENCHI DHIDI YA KAGERA SUGAR

MTIBWA SUGAR:TUNA BAJETI YA MIAKA 40

THOBIAS Kifaru,Ofisa Habari mwenye uwezo mkubwa wa kuzungumza na nidhamu kubwa katika kazi yake ameweka wazi kwamba timu hiyo ina bajeti ya kujiendesha kwa muda wa miaka 40. Mtibwa Sugar kwa sasa inatumia Uwanja wa Manungu ambao ulikuwa umefungiwa kwa…

Continue Reading MTIBWA SUGAR:TUNA BAJETI YA MIAKA 40

Banda amtabiria makubwa Chama

Banda amtabiria makubwa Chama

By Olipa Assa BEKI wa Mtibwa Sugar, Abdi Banda amemtaja kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama kwamba atatikisa upya kwenye ligi kuu inayoendelea msimu huu. Banda amemzungumzia Chama leo Jumatano ya Junari 26, 2022 kwamba  japokuwa staa  huyo alicheza dakika…

Continue Reading Banda amtabiria makubwa Chama

Simba, Kagera hakuna kisingizio, Chama aongeza mzuka

Simba, Kagera hakuna kisingizio, Chama aongeza mzuka

By Oliver Albert MAKOCHA wa Simba na Kagera wamekiri kwa midomo yao kwenye mechi ya leo hakuna kisingizio chochote lazima kipigwe na mtu aondoke na pointi. Hakuna cha hali ya hewa, ugonjwa wala miundombinu kinachotakiwa ni pointi tatu. Awali mechi…

Continue Reading Simba, Kagera hakuna kisingizio, Chama aongeza mzuka