Category: simbasc

Tumepoteza…

Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar uliofanyika Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera umemalizika kwa kupoteza kwa bao moja. Tulianza mchezo kwa kasi na kuliandama lango la Kagera huku tukimiliki sehemu kubwa na kutengeneza nafasi lakini…

Continue Reading Tumepoteza…

Pablo apanga kikosi kivingine

Kocha Mkuu Pablo Franco, amebadili mfumo kuelekea mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar ambapo ameamua kutotumia mshambuliaji asilia. Katika kikosi cha leo Pablo ameamua kuwapanga viungo washambuliaji wanne Clatous Chama, Bernard Morrison, Pape Sakho…

Continue Reading Pablo apanga kikosi kivingine

Tunazihitaji alama tatu pekee leo Kaitaba

Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Kaitaba kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC ambao tunahitaji ushindi ili kurejesha hali ya kujiamini. Baada ya kushindwa kupata ushindi katika mechi mbili zilizopita leo tutahakikisha…

Continue Reading Tunazihitaji alama tatu pekee leo Kaitaba

Simba Queens yaipiga ‘mkono’ The Tiger Queens

Timu yetu ya Simba Queens imeendeleza wimbi la ushindi katika ligi ya Wanawake (Serengeti Lite Women’s Premier League) baada ya kuichakaza bila huruma The Tigers Queens uliopigwa Uwanja Mo Simba Arena. Tulianza mchezo huo kwa kasi ambapo dakika ya tatu…

Continue Reading Simba Queens yaipiga ‘mkono’ The Tiger Queens

Pablo: Ubora wa Uwanja utaifanya mechi kuwa nzuri kesho

Kocha Mkuu Pablo Franco, ameweka wazi kuwa mchezo wetu wa kesho dhidi ya Kagera Sugar utakuwa mzuri kuutazama sababu eneo la kuchezea (pitch) la Uwanja wa Kaitaba ni zuri. Pablo amesema baada ya mechi kumalizika kila mtu atakuwa na nafasi…

Continue Reading Pablo: Ubora wa Uwanja utaifanya mechi kuwa nzuri kesho

Timu yatua salama mkoani Kagera

Kikosi chetu kimewasili salama mkoani Kagera tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa Uwanja wa Kaitaba saa 10 jioni. Baada ya kuwasili wachezaji watapata mapumziko ya saa chache na jioni kitafanya mazoezi…

Continue Reading Timu yatua salama mkoani Kagera

Timu kuondoka kesho asubuhi kuifuata Kagera

Kikosi chetu kitaondoka kesho asubuhi kuelekea mkoani Kagera tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya wenyeji Kagera Sugar utakaopigwa Jumatano Uwanja wa Kaitaba. Tunatarajia kuondoka na kikosi kamili kwa ajili ya mchezo huo ambao tumeupa umuhimu mkubwa…

Continue Reading Timu kuondoka kesho asubuhi kuifuata Kagera

Simba U20 yazidi kutoa dozi Ligi ya Vijana

Timu yetu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 imeendelea kufanya vizuri katika michuano ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya kuifunga Cambiaso bao moja katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Karume. Mchezo huo ulikuwa mkali na wa kuvutia…

Continue Reading Simba U20 yazidi kutoa dozi Ligi ya Vijana

Simba, Mtibwa hakuna mbabe

Mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar uliopigwa Uwanja wa Manungu Complex mkoani Morogoro umemalizika kwa sare ya bila kufungana. Mchezo ulianza taratibu timu zikisomana huku zikitumia mipira ya juu kutokana na uwanja kuteleza baada ya…

Continue Reading Simba, Mtibwa hakuna mbabe

Simbaa, Mtibwa hakuna mbabe

Mchezo ulianza taratibu timu zikisomana huku zikitumia mipira ya juu kutokana na uwanja kuteleza baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia leo. Dakika ya 45 tulifanya shambulio kali langoni mwa Mtibwa baada ya shuti kali lililopigwa na Hassan Dilunga…

Continue Reading Simbaa, Mtibwa hakuna mbabe

Nyota watakaotuwakilisha dhidi ya Mtibwa leo

Muda mfupi ujao kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Manungu Complex mkoani Morogoro kucheza na Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi ya NBC utakaoanza saa 10 jioni. Kocha Pablo Franco amefanya mabadiliko kidogo ya kikosi ambapo mlinzi wa kushoto Gadiel…

Continue Reading Nyota watakaotuwakilisha dhidi ya Mtibwa leo

Simba U20 yaichakaza Ashanti

Kikosi chetu cha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 (U-20) kimeichapa bila huruma Ashanti United bao 3-1 katika Michuano ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) uliopigwa Uwanja wa Karume. Mchezo ulianza kwa kasi huku tukiliandama lango la…

Continue Reading Simba U20 yaichakaza Ashanti

Tumezifuata pointi tatu kwa Mtibwa

Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC ambao tumelenga kuondoka na alama zote tatu. Kikosi kiko kamili na jana jioni kilifanya mazoezi ya mwisho…

Continue Reading Tumezifuata pointi tatu kwa Mtibwa

Timu imefanya mazoezi ya mwisho tayari kuivaa Mtibwa

Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho leo jioni katika Uwanja wa Highland tayari kwa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar. Wachezaji wote waliosafiri wamefanya mazoezi na hakuna aliyepata majeraha hivyo benchi la ufundi litakuwa…

Continue Reading Timu imefanya mazoezi ya mwisho tayari kuivaa Mtibwa

Pablo: Tumepata mazoezi mazuri kabla ya kucheza na Mtibwa

Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema timu imepata mazoezi mazuri kabla ya mchezo wetu wa Jumamosi wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar tofauti na ilivyokuwa kwenye mechi iliyopita. Pablo ameyasema hayo muda mfupi kabla ya kikosi kuanza safari…

Continue Reading Pablo: Tumepata mazoezi mazuri kabla ya kucheza na Mtibwa

Timu kuondoka mchana kuifuata Mtibwa Moro

Kikosi chetu kitaondoka leo mchana kuelekea mkoani Morogoro tayari kwa mchezo ujao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa Jumamosi Uwanja wa Manungu. Kabla ya kuondoka kikosi kilifanya mazoezi katika viwanja vyetu vya Mo Simba Arena ikiwa…

Continue Reading Timu kuondoka mchana kuifuata Mtibwa Moro

Timu yarejea Dar, wachezaji wapewa mapumziko

Kikosi chetu kimewasili salama jijini Dar es Salaam leo kutoka mkoani Mbeya huku wachezaji wakipewa mapumziko ya siku moja. Kesho kikosi kitarejea mazoezini kujiandaa na mchezo wetu unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa Jumamosi Uwanja…

Continue Reading Timu yarejea Dar, wachezaji wapewa mapumziko

Tumepoteza mbele ya Mbeya City

Kikosi chetu kimepoteza mechi ya kwanza katika msimu huu wa Ligi Kuu ya NBC kwa bao moja dhidi ya Mbeya City uliopigwa katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Paul Nonga aliwafungia City bao hilo dakika ya 19 baada ya kuwazidi…

Continue Reading Tumepoteza mbele ya Mbeya City

Hawa hapa nyota watakaotuwakilisha dhidi ya Mbeya City

Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka kwenye Uwanja wa Sokoine kuikabili Mbeya City katika mtanange wa Ligi Kuu ya NBC ambao tunaamini utakuwa mgumu lakini tumejipanga kuukabili. Katika mchezo huo, Kocha Mkuu Pablo Franco, ameamua kuanza na viungo watatu…

Continue Reading Hawa hapa nyota watakaotuwakilisha dhidi ya Mbeya City

Tupo kamili kuwavaa Mbeya City leo

Kikosi chetu leo saa 10 jioni kitashuka katika Uwanja wa Sokoine kuikabili Mbeya City mtanange wa Ligi Kuu ya NBC ambao tunatarajia utakuwa mgumu lakini wa kuvutia. Wachezaji wote wamefanya mazoezi ya mwisho jana jioni na hakuna yoyote ambaye tutamkosa…

Continue Reading Tupo kamili kuwavaa Mbeya City leo